Nyumba ina uzwa milioni 400 maongezi yapo nyumba ina lum2 zote nimasta pia kota ya inje ina lum2 zote nimasta pia kiwanja sq1500 kiwanja kilicho jengwa nyumba sq800 ambacho hakije jengwa sq700 kiwanja kina hati moja kiwanja chote kina ukuta# kutoka lami kiwanja cha3 kiwanja kipo Goba kulangwa mtaa umenyoka sana