Nyumba kali sana inauzwa bei ya kutupa:
Ina room 5 master 5
Dirning sitting jiko stoo na public toilet
Eneo- sqm 1600
Umiliki- Kiwanja kina hati milik Bei- ml 230
Location- GOBA MTAA WA MAGHOLOFANI
Umbali- km 1 kutoka main road
Karibuni sana
Please Add a first listing