NYUMBA INAUZWA
IPO MADALE SENTER
MKOA -DAR-ES-SALAAM-Tz
WILAYA – UBUNGO
MAHALI – MADALE SENTER
BEI – MIL 270
UWANJA – SQM 1200
MAONGEZI YAPO
NYUMBA
YENYE
_
Vyumba vitatu vya kulala kimoja master sebule jiko
Kuna mabanda ya kufuga na kuna eneo
Lingine lipo lakujenga nyumba nyingine
Sebule kubwa jiko kubwa dianing
Public. Store Pakin kubwa garden
__