Nyumba ina plot kubwa sana yenye sqm 1500 na ni ya pili kutoka baharini Nyumba ipo mbezi beach kwa zena Ina vyumba vitano Ina jiko, sebule na dinning vya kisasa Bei yake ni dolla laki tatu na tisini ($390000)
#0764599998
Please Add a first listing