NYUMBA BADO IPO USD 500,000
MBEZI BEACH KATIKATI YA GOIG NA MAKONDE
UKUBWA SQM 800
INA HATI MILIKI
YENYE:
Nyumba mbili Kwa moja Kila upande una Vyumba vinne
Master vyote
Kila upande Kuna public toilet
AC zipo kila sehemu
zina sebule mbili juu na chini Kila moja
Ina Barcon sita pia kama unasherehe ndogo unamaliza Kuna sqm 200 huko ju Kuna kitchen mbili kubwa sana Kila upande
Zenye makabati yakutosha
Karibuni sana .
MAONGEZI YAPO