HOUSE FOR SALE
MBEZI BEACH MAKONDE
BEI Milioni 480 Tshs
UKUBWA SQM 1504
Floor ya chini ina chumba kimoja cha kulala self contained, sebule, jiko na Dinning.
Floor ya juu(boma) ina vyumba vitatu vya kulala vyote self contained.
Dakika 10 kutoka main road (barabara ya lami)
INA HATI MILIKI
#0628421511