Nyumba inauzwa
Ghorofa 1
Vyumba vinne (4)
Room 3 juu na 1 chini
Room zote self contained
Pia lum zote zina makabati ya ukutani/ Public toilet, sitting/dining kubwa, kitchen, store, mini dining ipo jikoni kwa pembeni
Kuna frem 5 kwa nje
Parking Gari za kawaida 4/3 zinaingia
Pamepimwa pana Hati miliki
Ukubwa Sq.m 435
Bei Milioni 370 maongezi yapo
Mtaa tulivu sana
Located in tegeta kibo
Call