*Nyumba ya vyumba 4 ipo Baharini inauzwa Mtoni Kijichi*
-Umbali kutoka Barabara ku
u ya Kilwa Road ni Km 2.5-Nyumba Ina vyumba Ina vyumba vinne vyote master
-Kuna Chumba Cha mazoezi, ofisi, parking ya gari, sebule ya juu, service room, kitchen, dinning, public toilet.
-Plot size Sqm 7589
-Eneo lililondani ya nyumba Sqm 4589
-Bei ni 1.3 Bilioni
-Kuna Kisima hamna maji ya Dawasco.
-Eneo Lina hati
Mteja unakaribishwa.