Industrial Plot ya Ekari 80 inauzwa Kibaha-Misugusugu
Distance Mita 500 kutoka Morogoro road lipo upande wa kulia ukitokea mjini
-Eneo limepimwa kwa matumizi ya viwanda.
-Umeme mkubwa kwa ajili ya viwanda upo.
-Document: Hati itatoka kwa jina la mnunuzi
Bei shilingi milioni 44 kwa kila ekari moja maongezi yapo