MAIR MOJA MKOA WA PWANI KIBAHA LODGE INAUZWA
NDANI YA ENEO HILO LENYE LODGE KUNA MAJENGO MATANO 5
UKUBWA WA SQM 4000
TITTLE DEED MKONONI
JENGO LA KWANZA NI LODGE INA VYUMBA 20
VYOTE MASTER TV AC
JENGO LA PILI NI BAR KUBWAA YENYE UWEZO WA KUCHUKUWA WATU 60 INA COUNTER KUBWAA NA JIKO KUBWAA NA STOO
JENGO LA TATU NI UKUMBI WA SHELEHE AU MIKUTANO WENYE UWEZO WA KUCHUKUWA WATU 100
JENGO LA NNE NI UKUMBI WA SHELEHE AU MIKUTANO WENYE UWEZO WA KUCHUKUWA WATU 30
NA JENGO LA TANO NI OFFICE CHUMBA CHA JIME NA STOO KUBWAA NA VYOOO
PARKING KUBWAAA
UMBALI TOKA MORO RAOD MITER 400 TU
NDANI KUNA TENK KUBWA ZENYE UWEZO WA KUBEBA LITER 5000 KILA MOJA
PIA LIPO JENELETA KUBWAAA ENDAPO UMEME UMEKATIKA LINATUMIKA HILO
KARIBU SANA MTEJA NJOO UKAGUE UTOE OFFA