JUMBA LA KIFAHARI LINAUZWA KIEMBENI-MAPINGA-BAGAMOYO JIRANI NA CHUO CHA KIMATAIFA CHA KIJESHI, UKUBWA WA ENEO SQM 1238, VYUMBA 4,VITATU MASTER,SEATING ROOM, DINNING, LIBRARY, PUBLIC TOILET,KISIMA CHA MAJI YA KU DRILL,MAJI YA DAWASCO NA UMEME VIPO, NYUMBA NDANI YA FENSI,HATI MILIKI IPO,UPEPO WA BAHARI UNAUSIKIA,BEI MILIONI 170 MAONGEZI YAPO.