TZS 3,000,000
/mo
Bagamoyo, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania

KIWANJA CHENYE UKUBWA WA HEKA 1 KINAUZWA
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃ ▃

Kipo maeneo ya Bagamoyo – FUKAYOSI karibu na kanisa la KKKT

Kutoka barabara kuu ya Bagamoyo kwenda Msata ni umbali wa kilomita tatu hadi kwenye kiwanja.

Ukubwa wa kiwanja ni Heka 1 (zipo Heka 3 Tu) unaweza ukanunua heka moja moja au zote tatu.

Maji & Umeme upo karibu sana na barabara ni nzuri magari yanapitika wakati wote, hata gari ya chini linafika bila wasiwasi.

Hapa unaweza ukajenga nyumba ya kuishi au ukafanya shamba la kilimo biashara kama mananasi, mihogo au miti ya maembe.

Kiwanja kinatazama barabara kubwa ya mtaa.

Bei; Tsh. 3 Million kwa Heka moja

Overview

Sale Price TZS 3,000,000
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now