Kiwanja kinauzwa Bunju A umbali kutoka main road ni metre 500 tu. Ukubwa wa kiwanja ni Square metre 1350. Waweza chukua eneo lote au kukatiwa 22/20 ambapo vinatoka Viwanja vitatu vya huo ukubwa. Kwa lote ni million 60m. Kwa kimoja kimoja kwa ukubwa wa 22/20 ni 20m Document:hati za Mauziano serikali za mtaa.