TZS 35,000,000
/mo
Goba, Dar es Salaam, Coastal Zone, P.O BOX 35103, Tanzania

Kiwanja kinauzwa kipo goba kulangwa mtaa wa malobo km 2 toka barabara kuu itokayo njia nne kuelekea madale unaingilia ShelI barabara ya kulangwa kiwanja kina ukubwa wa sqm 1200 bei mil 35 kiwanja kimepimwa na kina hati karibuni wote

Overview

Sale Price TZS 35,000,000
Property Lot Size 1200
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now