Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo goba mpakani bei mil 16 kiwanja kinaukubwa wa miter 25 x 30 kiwanja kimepimwa bado hati umbali km 9 toka mbezi ya kimara na km 3 toka madale mwisho na km 6 kutoka goba center kiwanja pande mbili tayali kina fensi kwahiyo utajenga pande mbili nawewe gari mpaka hapo