Kiwanja kinauzwa kiwanja kipo Goba Mpakani kiwanja kina ukubwa wa sqmt 800 kimepimwa na mawe tayali Bei mil 30 maongezi yapo kiwanja kipo umbali wa km 4 toka Madale mwisho na km 9 kutoka mbezi ya kimara na km 6 kutoka Goba njia nne karibu
Please Add a first listing