TZS 10,000,000
/mo
Mlandizi, Kibaha, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania

Eneo lenye heka tano 5 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani kibaha mlandizi eneo lipo umbali wa km 5 toka Moro road eneo linapakana na hivyo viwanda vinne kiwanda Cha nondo kiwanda Cha mabox kiwanda Cha kaitengeneza kebo na kina jengwa kiwanda kingine kikubwaaa Sanaa na mama Samia na eneo pia lipo jilani Sana na hospitali ya selikali ya wilaya ya kibaha na secondary ya selikali ya kilangalanga huduma zote zipo eneo ni la makazi lishapimwa bado hati waweza kubadili matumizi na zuli Sana kwa kukata viwanja karibu

Overview

Sale Price TZS 10,000,000
Property Lot Size 5
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now