Kiwanja kizuri kimenyoka kinauzwa Madale Shule eneo lina ukubwa wa 883sqmt kiwanja kipo karibu sana na main ni 500m tu kimezungukwa na mji wa kisasa uliojengeka.
Please Add a first listing