Kiwanja kinauzwa Mbezi Mshikamano
-Distance kutoka lami 1 KM na kutoka junction mpaka Kiwanja ni mita 300
-Plot size ni Sqm 1750
-Document: Kimerasimishwa hati iko kwenye hatua.
-Kiwanja ni tambarare kiko mtaa mzuri una utulivu uzunguni.
Bei ni shilingi milioni 45 maongezi