Kiwanja kinauzwa kipo mbezi barabara ya makabe kiwanja kinaangalia hiyo barabara ya makabe kutoka mbezi stendi ya maghufuli km 1 hii barabara nusu ishapigwa lami kiwanja ni kizuli kwa makazi apartments hotel na mbele utajenga mafrem mengi tu bei mil 130 maongezi yapo eneo Lina ukubwa wa sqm 1800 eneo tamu Sana eneo limepimwa na lizevu ya barabara imeshatolewa