KIWANJA KIZURU NA KIKUBWA KINAUZWA MBEZI MWISHO BARABARA YA MAKABE UMBALI KUTOKA ROUND ABOUT YA KUELEKEA GOBA NI KM 2
_________
KIWANJA KIPO TAMBALALE, KUNA MIUNDOMBINU UMEME ,MAJI YA BOMBA, PIA BARABARA HADI SAITI INAFIKIKA VIZURI SANA
_________
UNAWEZA KUJENGA APARTMENT AU NYUMBA YA KUISHI
_________
BEI YAKE TSHS MILIONI 45
UKUBWA WA KIWANJA NI MITA 49×35
DOCOMENT SALE AGREEMENT
KIWANJA HIKI HAKINA MGOGORO WALA HAKIDAIWI NA MTU YEYOTE
_________
KARIBUNI SANA.
PHONE:255655229251/255744511666
EMAIL:sarafinajohn56@gmail.com
INSTAGRAM;@dream_homes_realty