TZS 50,000,000
/mo
Ununio Street, Tanga, Northern Zone, Tanzania

KIWANJA KINAUZWA
KIPO – DAR -SALAAM-Tz
MAHALI – UNUNIO BEACH

UKUBWA – SQM 500
BEI – TZS MILLION 50
MAONGEZI YAPO

KIWANJA KIPO METER 200 KUTOKA BARABARA YA RAMI

NA KIPO METER 800 KUTOKA USAWA WA BAHARI

NIKIZURI SANA
USHAURI – UNAWEZA UKAVUNJA KIBANDA KILICHOPO NA UKAJENGA APARTMENT ZA KUPANGISHA NAKUHAKUKISHIA UTAPATA WAPANGAJI UKIWA KATIKA HATUA YA MSINGI TU WANYUMBA WATU WATAFANYA BOOKING WEKA APARTMENT HATA ZA CHUMBA SEBURE JIKO NA CHOO .

KWANI KIWANJA KIPO KARIBU NA STAND YA DALADALA YA UNUNIO

Overview

Sale Price TZS 50,000,000
Property Lot Size 500
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now