TZS 900,000,000
/mo
16187.40
Kisarawe, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania

Godown na nyumba nne za wafanyakazi pamoja na office  nyumba ya mikutano na sehemu ya karantini vyote kwa pamoja VINAUZWA sehemu vilipo mkoa wa pwani wilaya ya kisalawe kiluvyaa madukani umbali kutoka moro road km 2 barabara kuubwaa hata semi zinapita Safi kabisaa eneo ni heka 4 na magodowni yapo 3 makubwaaa bei mil 900 ina hati miliki  maji na umeme vipo Safi karibu Sana.

Overview

Sale Price TZS 900,000,000
Size 16187.40
Property Lot Size 16187.40
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now