Mashamba yaoo umbali wa 12km kutoka Tumbi Refferal Hospital
Yapo karibu na mto mpiji, pia haya mashamba yako na rutuba ya kutosha na kufaa kwa ajili ya kilimo na ufugaji
Tunajumla ya ekari 116 na kila ekari moja bei ni Tsh 3,500,000 ( miloni tatu na nusu)