TZS 12,000,000
/mo
Kibaha, Pwani Region, Coastal Zone, Tanzania

Mashamba yanauzwa mashamba yapo soga msufi mmoja mashamba yapo umbali wa km 25 toka kongowe mkoa wa pwani kibaha mashamba mazuli na salama bei kwa heka moja ni mil 1200000 mashamba yapo level kwa kilimo Cha mihogo na vilimo vingine usafili 5000 toka kongowe kwa bodaboda na bajaji 3000. Unaipita leli ya mwendokasi karibuni wote

Overview

Sale Price TZS 12,000,000
Report
Take Ownership / Claim Listing
Compare List
Please Add a first listing
Compare Now