MAPINGA PROJECTS
Tuna mradi wa viwanja eneo la mapinga shule
Viwanja vyetu viko umbali wa 1.5km kutoka bagamoyo road
Vipo kwenye muinuko na vina view ya Bahari. Ni eneo tulivu na lilojengeka hakika ni mahali salama kwa kuishi.
Mradi huu umezungukwa na huduma zote za mhimu kama maji, umeme, shule, maeneo ya kupumzika na kulala pia.
Mradi huu unaviwanja vya kuanzia 668sqm hadi 1500sqm.
Bei ni pesa ya kitanzania 22,000 tu kwa kila sqm moja
Pia unakaribishwa wewe, ndgu jamaaa na marafiki kutembelea mradi huu mda wowote au fika ofice zetu zilizopo mapinga
Mawasaliano zaidi 0755654676