Sifa ya nyumba Inavyumba v3 vya kulala kimoja masters,seble kubwa, jiko , dinning na choo cha public, gypsum na floo ya kawaida na pia inamadilisha ya wavu Nyumba ni mpya Umbali kutoka rami mita 200 na ukubwa wa kiwanja SQM 800 BEI ML 47 Maongezi
Please Add a first listing