NYUMBA INAUZWA NA ipo SALA SALA KILIMAHEWA NZURI SANA
Ina Vyumba Vinne Kimoja Master,Dinning,Sitting,Kitchen&Public Toilet
Umiliki: Hati Ya Mauziano Ya Serikali Ya Mtaa (Sales Agreement)
Ukubwa Wa Eneo: SQM 820
Maji Ya Dawasco Na Umeme Vyote Vipo
Barabara Iko Vizuri Mpaka Kwenye Nyumba
Nyumba Aina Mgogoro Mwenyewe ana uza
Eneo Ni Kubwa Sana Unaweza Kujenga Nyumba Nyingine (Kiwanja Kimebakia Nje Ya Fance)
Bei : 200 Million (maongezi yapo Njoo
Gharama Za Kwenda Site 50k