NYUMBA INAUZWA MAHALI ILIPO BAGAMOYO MJINI KARIBU NA KANISA KATORIKI MTAA UJULIKANAO KINGANI MAJENGO MAPYA
YENYE
VYUMBA V3 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTA BEDROOM SEBULE KUBWA DINING ROOMS KUBWA JIKO ZURI LA KISASA LENYE MAKABATI CABINET INA VYOO NA BAFU VYA FAMILIA NDANI INA TAILS GYPSUMS ALUMINUM WINDOWS LUKU INAJITEGEMEA MITA YA MAJI INAJITEGEMEA IPO NDANI YA UKUTA GET
BEI INAUZWA TSHS MIL 170
SIZE SQMITER 900
DOCOMENT SALES AGREEMENTS