Boko, 3 Bdrm En Suite House Inauzwa – Dar es Salaam
.
• Mahali: Boko Magengeni, kilomita 1 kutoka Bagamoyo Road na mita 30 kutoka lami ya mtaa
• Hali ya nyumba: inahitaji matengenezo madogo madogo
• Bei: TZS mil. 110
• Ukubwa wa kiwanja: 460 sqm
• Nyaraka: Hati ya wizara
• Kupelekwa kuona: TZS 30,000
.
vyumba vyote self • sebule • jiko • washroom ya jumuiya • varanda ya mbele • sehemu ya bustani • paving • uzio • maegesho ya gari • umeme upo na maji ya dawasa yanatoka masaa 24