Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa Boko Magengeni ina vyumba vitatu kimoja ni master sebule jiko na store kiwanja kina ukubwa wa 500sqmt haina hati document ni za mauziano ya serikali ya mtaa.
Please Add a first listing