Nyumba inauzwa Boko Basihaya au unaingilia njia ya Ununio ambapo kutokea barabara ya Ununio ni mita 200 na kutokea Basihaya ni km 1.5
Ukubwa wa kiwanja ni 800sqmt
Ina vyumba 3
Ipo neghbourhood nzuri sana
Picha hazivutii ila ipo location nzuri mno
Bei ameanzia 120 maongezi yapo