Nyumba kali ya gorofa inauzwa Bunju B
-Nyumba ina vyumba vinne vyote master, sebule mbili juu na chini, kitchen, public toilet dinning na sitting room pamoja na stoo ya jikoni.
-Servant Quarter ina room na sebule
-Full fence na CCTV Camera kona zote.
-Distance Mita 900 kutoka lami mpaka nyumbani
-Plot size 1367
-Clean title deed
Bei 650 milioni maongezi