NYUMBA INAUZWA CHANIKA MJINI MANSPAA YA ILALA BEI MILIONI 29
INA VYUMBA VITATU KIMOJA MASTER
INADAINING ROOM CHOO PUBLIC TOILET JIKO
INASTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA
UKUBWA WA ENEO SQM 400
MTEJA USITUME MSG PIGA SIMU
MTEJA KWETU NI MFALUME
NJOO TUKUHUDUMIE KWA UWAMINIFU MKUBWA PIA TUNAHUSIKA UUZAJI WA VIWANJA NYUMBA MASHAMBA NK
SERVICE CHAJI 20000