Nyumba inauzwa milioni 40 ipo Chanika Nyeburu Manispaa ya Ilala Dar es salaam. Vyumba vitatu sitting room master bedroom jiko dining room na public toilet. Nyumba Ina maji na umeme. Pia Nyumba Ina fremu Moja ya duka mbele. Nyumba Ina fensi Bado geti. Kiwanja sqm. 400 Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya mtaa.