NYUMBA NZURI INAUZWA CHANIKA ZINGIZIWA BEI MIL 18
INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA.
UKUBWA WA ENEO SQM 400
Please Add a first listing