NYUMBA INAUZWAš„
Ipo chanika magengeni
Huduma za kijamii zote zinapatikana jirani kabisa
Bank
Shule
Hospital
Pia ipo karibu na main road
Umeme na maji yapo
Million 28 tuh
Vyumba vivo vi tatu kimoja ni masta sebule kubwa jiko na packing yakutosha