NYUMBA INAUZWA NYUMBA IPO CHANIKA MJINI MAENEO YA STENDI
NYUMBA NI YA VYUMBA V3 SEBULE DAINING JIKO STOO PUBLIC CHUMBA MASTER
ENEO SQM 400
BEI MIL 35
HATI MAUZIANO SELIKALI ZA MTAA
NYUMBA IPO MANISPAA YA ILALA JIMBO LA UKONGA MKOA WA DAR
KARIBU SANA MTEJA