NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MVUTI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM
KWA TSHG MILLIONI 8,500,000/=
UKUBWA WA ENEO SQM 400
INA VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA PUBLIC TOILET NA SITTING ROOM
INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA
HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA NJOO UKAGUE NYUMBA TUMALIZE BIASHARA MAPEMA KWA MHUTAJI SILIASI
FUNGA MWAKA NA NYUMBA HII KWAKO NI KWAKO MWAKA MPYA NA MAMBO MAPYAAAAAAAA……