Nyumba ina uzwa ipo Goba centa kutoka hapo Goba centa hadi kwenye nyumba Kilomita1 nyumba ina vyumba 3 zote ni masta jiko la maana pia sebule ya kutosha ukubwa wa kiwanja sqmt 1400 pame pimwa hati bado bei milioni 320 maongezi yapo
Please Add a first listing