Nyumba inauzwa nyumba ipo Goba Mpakani nyumba ni ya vyumba v3 kimoja ni master,sebule, jiko na dining chumba master public stoo eneo sqm 600 nyumba ipo center ya Goba mpaka scondary zinapoishia daladala Bei mil 70 maongezi yapo
Please Add a first listing