Nyumba ya kisasa inauzwa milioni 90 maongezi yapo Nyumba ipo mbezi mwisho barabara ya kwenda goba kituo mageti >> Nyumba ina vyumba vitatu master bedroom sitting room dining room kitchen store public toilet ukubwa wa eneo ni SQMT 600 document sales agreement umbali mita 200 kutoka barabara kuu ya lami maji dawasco umeme vyote vipo barabara safi inayopitika vyema na magari ya aina zote