Nyumba inauzwa Goba Kulangwa
Njia ya kuingia inaanzia Barabara ya lami
Distance kutoka Round about ya njia nne ni 2KM.
-Nyumba Ina vyumba 3 vya kulala, master bedroom 2, study room, public toilet, kitchen, dinning room, sitting room pamoja na stoo.
-Plot size Sqm 1500
-Hati safi (Clean title deed)
Kuna kisima cha maji mita 140 chini, pampu ipo pia nyumba yote ni Full AC
Bei ni shilingi 300 milioni maongezi yapo