Nyumba inauzwa nyumba ipo Goba Mpakani nyumba ni ya vyumba vitatu sebule jiko daining chumba master public toilet eneo lina sqmt 400 bei mil 23 kiwanja kimepimwa hati bado nyumba ipo mita 300 toka barabara kuu itokayo mbezi kuelekea Goba Mpakani umbali toka Mbezi ya Kimara km 9 na kutoka Goba km 6 kutoka Madale km 4 kiwanja kimepimwa bado hati karibu