Apartment ya Gorofa zipo4 chini2 na juu2 kila Apartment ina vyumba viwili na zote nimasta pia choo cha public kipo / bado vitu vidogo vidogo kama rangi ya mwisho pia Tailizi bado/ kiwanja cha pili kutoka lami Ukubwa wa Kiwanja sqm 2,962 Gorofa mzuli sana LIPO BAHARI CHEACHI / BEI MILIONI 800 MAONGEZI YAPO hati ipo