Nyumba inauzwa ipo goba mpakani bei mil 30 nyumba ni ya vyumba v2 vyote ni master Ina jiko sebule public toilet eneo 25m kwa 15m gari mpaka mlangoni kiwanja kimepimwa bado hati tiles gypsum zishawekwa.
Please Add a first listing