Nyumba inauzwa nyumba ipo mkoa wa pwani kibaha kwa mathiasi km 5 kutoka Moro road boda 2000 ni upande wa kulia Kama unaenda moro nyumba ipo msangani maeneo ya jeshini yani kutoka jeshini km 1 mpaka kwenye hii nyumba ni nyumba ya vyumba v3 sebule jiko chumba master public toilet eneo sqmt 300 bei mil 35 maongezi yapo maji umeme vipo kumepimwa bado hati karibu