NYUMBA INAUZWA IPO KIBAHA KWA KIPOFU
INA VYUMBA VITATU KIMOJAWAPO NI MASTER INA SEBULE KUBWA JIKO DINING NA STORE
UKUBWA WA ENEO SQUARE MITRE 800
UMILIKI HATI YA MAUZIANO SELEKALI YA MTAA
BEI NI MILIONI 45 MAONGEZI YAPO KIDOGO
KUPELEKWA SITE 20.000