WAZEE GOROFA KALI HII INAUZWA,
HIPO KIBAMBA NJIA PANDA YA SHULE,UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI KM 1 TU.
INA VYUMBA VINNE,VIWILI MASTER,JIKO,SEBULE 2,DINNING,STORE.
UKUBWA WA ENEO SQUARE METRE 3500
INA CLEAN TITLE DEED.
PRICE:250M.
NEGOTIABLE.
KARIBUNI.