NYUMBA INAUZWA
ipo Kibamba kwa Mangi,km 2 from the Morogoro road,
Ina Vyumba vitatu,kimoja master,public Toilet,jiko,sitting room
Ukubwa wa eneo Square Meter 500.
Eneo limepimwa na kurasimishwa na mawe yapo tayari.
Bei tsh milion 40 Maongezi yapo
GHARAMA YA KUONESHWA NYUMBA NI TSH 20000/=